Bishop Apostle Danstan Maboya-Zaidi ya Miaka 45 katika kuhubiri injili
- nzalinextlevel
- May 18
- 1 min read
Bishop Apostal Danstan Maboya Haule, Ni mtumishi wa Mungu kutoka nchini Tanzania, mwenye kanisa lenye makao makuu yake katika mkoa wa Morogoro, akiwa ni mwanzilishi wa makanisa ya Calvary assembles of God Tanzania yaliyoanzishwa miaka 80s kuja miaka 90s na sasa ana makanisa karibu Tanzania nzima.
Kipindi anaanza huduma katika miaka ya 80s kuja miaka 90s alipitia Changamoto za huduma, watu kushindwa kumulewa ufunuo ambao mungu aliweka ndani yake katika miaka hiyo.

Upako wake ulikuwa wa kipekee ambao ulikuwa na miujiza mikubwa na uponyaji wa hali ya juu kitu kilicho pelekea watumishi wakubwa waliomtangulia na wazazi wake wa kiroho, kuanza kumkataa kwa njinsi Mungu alivyokuwa akitumia na kumuona kama ana nguvu zingine za ziada na si za ki Mungu na hata kumsemea vibaya na hata wengine kumkimbia katika kufadhili kazi yake ya injili.
Opmerkingen