Hondwa Mathias-Kuachia wimbo mpya "alleluyah"
- nzalinextlevel
- Jul 6
- 1 min read
Hondwa Mathias ni mwimbaji wa Nyimbo za injili,kutoka familia yakitumishi ya Mch.Mathias Hondwa na alianza huduma ya Kumtumikia Mungu Mwaka 2006 huko nchini Tanzania katika jiji la Miamba Mwanza (rockcity) , na kwasasa kahamishia makazi yake katika nchi ya Marekani,
amekuwa kimya kwa mda kutokana mazingira ya Makao Mpya, ila kwa sasa anakuja upya na anatarajia kuachia wimbo mpya Tarehe 25/7/2025 unaokwenda kwa jina “Alleluyah” kwa Mara ya kwanza nikiwa Ughaibuni.
kuwa wa kwanza Kusikiliza na kutazama wimbo huo kupitia Youtube akaunti @Hondwa Mathias link https://www.youtube.com/@hondwamathias/videos

Comentarios