Search
Gospel Presenter of the year 2024-2025
- nzalinextlevel
- Jan 28
- 1 min read
Mwaka 2024 - 2005 katika mashindano ya kumtafuta mtangazaji bora wa vipindi vya Injili mwaka 2024 kupitia chama cha muziki wa injili Tanzania (CHAMUITA) Peter Abdallah
( Brother P) kutoka Kilimanjaro Revival FM (MOSHI)

ameibuka mshindi mtangazji bora mwaka 2024 , anatanguliza shukrani kwa wadau wote wa muziki wa injili na radio za dini Tanzania kwa kumpigia kura.
Comments