top of page
Abstract Background
Search

Mhandisi Hersi Said Atwaa Tuzo

  • nzalinextlevel
  • Oct 26, 2024
  • 1 min read

Rais  wa Timu ya mpira wa miguu,Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi Ally Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango katika maendeleo ya mpira wa miguu Barani Afrika katika tuzo za Nigeria-France Sports Awards, zilizofanyika  jijini Paris, Ufaransa.


Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa, Ali Jabir Mwadini, alikabidhiwa tuzo hiyo kwa niaba ya Eng. Hersi na kuelezea kuwa kwa kutambuliwa kwa mchango na juhudi za Eng. Hersi katika kukuza na kuendeleza mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania na Barani Afrika.


Eng. Hersi ameonesha uongozi bora katika Young Africans SC, akichangia kwa kiasi kikubwa katika mafanikio ya Timu na kukuza vipaji vya wachezaji.



Tuzo hiyo inathibitisha mchango wake katika maendeleo ya michezo na ushirikiano wa kimataifa katika sekta hiyo, huku inaashiria umuhimu wa viongozi wa michezo katika kuleta maendeleo katika jamii.

 
 
 

Σχόλια


T-Mobile-Lawsuit.jpg
WhatsApp Image 2024-10-06 at 6.19.16 AM.jpeg

Lonely Nzali

Producer and Graphics Designer of this magazine The Diaspora also DallasGospel magazine..
Keep following our pages for more information about the diaspora

de59d2b2-a6d0-45ea-9f2d-4c39c1e40e8b_rw_1920.jpg
137092063_4184719214890090_5004613881637175391_n.0.jpeg

Let the posts come to you.

  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter
  • Pinterest
bottom of page